+255 764 706 227

We are expecting to launch  Various Training programs. We are intending to visit Various Educational Institutes Such as Secondary Schools, Vocational Training Centers, Colleges and Universities to organize and conducting training programs. The program will include training on basic Computer Application, Basic Programming(Various programing languages ), Web design and Development. Also we shall be flexible based on our costumers needs.

Also we are expecting to visit Various secondary schools to conduct and organize short term trainings and seminars to motivate young youth(students) especially those who are  going to graduate secondary School Education love Science subjects, to be creative and innovative  as well as  engaging with IT industry and Technology  in general.

//Tunatarajia kuzindua programu Mbalimbali za Mafunzo ya komputer. Tunakusudia kutembelea Taasisi Mbalimbali za Kielimu kama vile Shule za Sekondari, Vituo vya Mafunzo ya Ufundi Stadi(VETA), Vyuo vya kati na Vyuo Vikuu ili kuandaa na kuendesha programu za mafunzo pamoja na uhamasishaji. Programu hiyo itajumuisha mafunzo ya msingi ya Utumiaji wa Kompyuta, Upangaji wa Msingi (Lugha mbalimbali za programu), muundo wa Wavuti na Maendeleo. Pia tutakuwa wenye kubadilika kulingana na mahitaji ya wateja wetu.

Pia tunatarajia kutembelea shule mbalimbali za sekondari kwa ajili ya kuendesha na kuandaa mafunzo na semina za muda mfupi ili kuwahamasisha vijana(wanafunzi) hasa wale wanaokwenda kuhitimu Elimu ya Sekondari kupenda masomo ya Sayansi, kuwa wabunifu na pamoja na kujihusisha na TEHAMA pamoja  na Teknolojia kwa ujumla.

Pia Tuna mpango wa kuanzisha programu ya kuwasaidia wale vijana wabunifu hasa kwenye kada ya TEHAMA  ambao kutokana na changamoto mbalimbali za ama kichumi au za kimazingira walishindwa kufikia malengo yao ya kuweza kuendeleza na kunufaika na  ubunifu wao. Hii itajumuisha usaidizi wa kuweka mifumo(programu) zao kwenye mtandao server(hosting and domain Registration). Kuwatia morali vijana wasome na wajihusishe  zaidi na masuala ya Teknolojia pamoja na ungunduzi na uvumbuzi.