Pasah
group is an independent web design, software development, and consulting Tech
Group in Tanzania. We as professionals are highly concerned with
the quality of our solutions and services. Moreover, our team constantly works
on designing, developing, and improving our service performance to satisfy our
customers and maintain long-term cooperation with them.
Also we have developed systems that are completely
ready  and functioning at efficiency of 100%.  In case there will be a client who will be interested
with System(our software), she/he can consult Us for business and we can
customize it to fit the actual needs of the our client and
his/her business.
//Pasah Group ni kikundi cha vijana wa kitanzania wenye Taaluma juu ya masuala ya ya TEHAMA . Kikundi hiki kinajihusisha mambo mbalimbali rejea huduma zetu(Services), lakini kimejikita zaidi kwenye uundaji na utengezaji wa wavuti(Website Design and Development) pamoja na uundaji, utengenzaji na uendelezaji wa programu mbalimbali za komputa(Software Development). Pia tunatoa huduma ya ushauri wa kiufundi kuhusiana na masuala mbalimbali ya kimfumo ya komputa. Sisi kama wataalamu tunajali sana ubora wa suluhisho na huduma zetu. Zaidi ya hayo, timu yetu daima hufanya kazi katika kubuni, kuendeleza na kuboresha utendaji wa huduma zetu ili kuridhisha wateja wetu na kudumisha ushirikiano wa muda mrefu nao.
Pia tuna mifumo ambayo iko tayari kabisa na inafanya kazi kwa ufanisi wa
100%. Iwapo kutakuwa na mteja ambaye atapendezwa au kuvutiwa na mojawapo ya
mifumo yetu(software zetu), anaweza kushauriana Nasi kwa ajili ya biashara na
tunaweza kuibinafsisha ili kuendana na mahitaji halisi ya mteja wetu na
biashara yake.
Â