+255 764 706 227

Pasah Group as experts in Technology, especially Information and Communication Technology (IT). We are focused on providing the following IT services including advisory services as well as technical services. The main goal is to help our clients to be able to utilize their (IT) systems at maximum level and with high quality to help them grow their business and reach their business goals. This includes services and consulting for information analysis (data analytics), consulting services for the operation of computer systems (Technical support). Also we providing consulting service on client on good use of IT opportunities available in the their surrounding environment such as social networks to benefit them in growth their business and achieving targeting business goal.


//Pasah Group tukiwa kama wataalamu wa Teknolojia hasahasa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA). Tumejikita zaidi kutoa huduma zifuatazo za kitehama ikiwemo huduma ya kiushauri (Advisory Services) pamoja na huduma ya kiufundi(Technical Services). Lengo hasa ni kuwasaidia wateja wetu waweweze kutumia vizuri na kwa  ubora wa hali ya juu mifumo yake ya (TEHAMA) ili iwasaidie  kukuza biashara zao na kufika malengo yao ya kibiashara. Hii inajumuisha huduma na ushauri wa uchambuzi wa taarifa(data analytics)  huduma ya ushauri ya uendeshaji wa mifumo ya komputa(Technical support). Pia huduma ya ushauri wa kutumia vizuri fursa za kiTEHEMA zinazopatikana kwenye mazingira yanayowazunguka mfano mitandao ya kijamii ili kuwanufaisha katika kukuza biashara zao