+255 764 706 227

We create brand identity and deliver online digital and print services. As a professional branding and ad agency, Pasah Group will be your trusted Media Partner. We are swiftly moving ahead with the rising technology, backed by a creative team of expert designers and developers. We do have an edge over others in terms of technical experience and enthusiasm. We are dealing with graphics design of all type  ranged from website design to business card, brochure, flyers, posters, banners, logos and animations. 


//Kikuundi cha Pasah Group, tukiwa kama wataalamu wa TEHAMA tunajihussisha na utoaji wa huduma ya utambulisho wa chapa(branding) na kutoa huduma za kidijitali na uchapishaji mtandaoni(online printing). Tukiwa Kama wakala wa kitaalamu wa chapa na matangazo, Pasah Group atakuwa Mshirika wako wa  wa kuminika. Kikundi chetu tunajihusisha na Ubunifu wa Michoro(Graphics Design) wa aina zote kuanzia uundaji wa tovuti(Blog and Website besign) hadi kwenye huduma ya kubuni na na kuchapisha vipeperushi(flyers, bronchure and posters) , mabango Makubwa ya biashara(banner), kadi za biashara(business card), nembo za utambulisho wa kampuni(logos) pamoja utengenezaji wa picha mjongeo(animations). Tunatekeleza huduma hii ama kwa njia ya mtandaoni (online printing (soft copy) au mfumo wa wa kawaida (physical printing). Tunafanya kila linalowezekana kukabiliana na kuendana na teknolojia inayokua kwa kasi kwa kuja mbinu tofauti.  Kikundi cha Pasah Group inaundwa na kuungwa mkono na timu ya wabunifu na wataalamu wobobezi wa Teknolojia hasahasa ubunifu wa michoro(Graphics Design) kuweza kufanikisha huduma hii kwa weledi na ufanisi wa hali ya juu.  



LOGO'S DEMO

 FLYER'S DEMO