
We already have our products that are ready completely and functioning for at efficiency of 100%. One of the systems that already and functioning is the Sales Management System(POS), In case there will be a client who will be interested with System, she/he can consult Us for business and we can customize it to fit the actual
needs of the our client and his/her business. For live Demo Click Here.
//Tayari tuna mifumo yetu ambayo tumeitengeneza, ipo tayari na inafanya kazi kwa ufanisi kabisa na ikitokea kuna mteja atahitaji au amevutiwa nao anaweza akawasiliana nasi tukamuuzia na pia tunaweza tukauboreshe(customize) kulingana mahitaji halisi ya mteja pamoja na mahitaji ya biashara yake kwa wakati huo. Mojawapo wa mifumo ambako ipo tayari ni ni mfumo wa wa kuchakata na kuhifadhi taarifa za mauzo yaani (Sales Management System(POS)). kujua zaidi jinsi mfumo unavyofanya kazi bonyeza kiunganishi hiki (POS Live Demo)